HabariLeo
MANYARA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema msingi mkuu wa chama chao ni kusikiliza wananchi na kuhakikisha changamoto zao zinapatiwa ufumbuzi. Kihongosi amesema hayo leo Juni Mosi, 2026 wakati akizungumza na wanachama na wananchi wa Shina Namba Moja, Tawi la Masakta, Kata ya Masakta wilayani … The post Kihongosi: Msingi wa CCM ni kutatua kero za wananchi first appeared on HabariLeo .
Go to News Site