Collector
Hanang yafikia 97% upatikanaji maji | Collector
Hanang yafikia 97% upatikanaji maji
HabariLeo

Hanang yafikia 97% upatikanaji maji

MANYARA: Upatikanaji wa Maji katika Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara sasa umefikia asilimia 97, huku zaidi ya wananchi 35,000 wilayani humo wanatajwa kunufaika na huduma ya maji kupitia mradi Mradi wa Chujio la Maji la Jorodom wenye thamani ya Sh bilioni 1.1. Akizungumza mara baada ya kukagua mradi huo leo Juni Mosi, 2026 Katibu wa … The post Hanang yafikia 97% upatikanaji maji first appeared on HabariLeo .

Go to News Site