Mwananchi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya kiburi cha madaraka, migawanyiko na kutanguliza masilahi binafsi ndani ya chama na Serikali, kikieleza kuwa hali hiyo inadhoofisha utendaji na kupunguza kasi ya maendeleo kwa wananchi.
Go to News Site