Mwananchi
Wananchi wa Kijiji cha Masakta, Kata ya Masakta wilayani Hanang, mkoani Manyara, wameiomba Serikali kupandisha hadhi Zahanati ya Masakta na kuiboresha kwa kuongeza watumishi pamoja na huduma muhimu za matibabu ili kuboresha huduma za afya kwa wakazi wa eneo hilo.
Go to News Site