HabariLeo
IRINGA: Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, ameendelea kuonyesha dhamira ya kuwawezesha wananchi kiuchumi kwa kuratibu mafunzo maalumu ya ujasiriamali awamu ya pili yanayowakutanisha zaidi ya wajasiriamali 400 wa Manispaa ya Iringa. Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo wa kuanzisha, kusimamia na kukuza biashara endelevu. Mafunzo hayo yamekuja wakati ambapo Serikali na wadau wa … The post Ngajilo aendelea kuwawezesha wajasiriamali Iringa first appeared on HabariLeo .
Go to News Site