HabariLeo
MANYARA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza Viongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mkoa wa Manyara kuhakikisha pikipiki zilizokamatwa kutoka kwa wananchi zinarejeshwa mara moja kwa wahusika ambao wamenyang’anywa. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi ametoa maagizo hayo leo Juni Mosi, 2026 katija viwanja vya Shule ya … The post CCM yaitaka TFS kurejesha pikipiki walizokamata first appeared on HabariLeo .
Go to News Site