Collector
Muliro aionya jamii kuhusisha uhalifu na makabila | Collector
Muliro aionya jamii kuhusisha uhalifu na makabila
HabariLeo

Muliro aionya jamii kuhusisha uhalifu na makabila

DAR ES SALAAM: Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amewapongeza viongozi na wanajamii wa Kimasai wanaoishi jijini humo kwa kuendeleza misingi ya uaminifu, uadilifu na uwajibikaji katika shughuli mbalimbali wanazotekeleza. Akizungumza na viongozi wa jamii hiyo, Muliro alisema ameridhishwa na namna walivyojitokeza kujadili masuala yanayozingatia Katiba ya Jamhuri ya … The post Muliro aionya jamii kuhusisha uhalifu na makabila first appeared on HabariLeo .

Go to News Site