Mwananchi
Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Ismani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuela Mtatifikolo ameibuka mshindi baada ya kupata kura 70,905 kati ya kura halali 75,874 zilizopigwa katika uchaguzi wa jimbo hilo.
Go to News Site