Collector
Sekta Binafsi kichocheo utekelezaji Dira 2050 | Collector
Sekta Binafsi kichocheo utekelezaji Dira 2050
HabariLeo

Sekta Binafsi kichocheo utekelezaji Dira 2050

ARUSHA: SERIKALI imesema kuwa zaidi ya asilimia 70 ya fedha zinazohitajika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 zinatarajiwa kutoka sekta binafsi, huku Mfuko wa Kukuza Ukuaji wa Uwekezaji Tanzania (TIGF) ukizinduliwa kama jukwaa la kuandaa miradi na kuunganisha fursa za maendeleo na mitaji ya wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa na … The post Sekta Binafsi kichocheo utekelezaji Dira 2050 first appeared on HabariLeo .

Go to News Site