Collector
NMB Yatumia Twenzetu kwa Yesu Kuendeleza Elimu ya Fedha kwa Vijana | Collector
NMB Yatumia Twenzetu kwa Yesu Kuendeleza Elimu ya Fedha kwa Vijana
Swahili Times

NMB Yatumia Twenzetu kwa Yesu Kuendeleza Elimu ya Fedha kwa Vijana

Dar es Salaam. Benki ya NMB imetumia uzinduzi wa Tamasha la Twenzetu kwa Yesu kuwafikia vijana kwa ujumbe wa maadili, nidhamu ya fedha na matumizi sahihi ya huduma za kidijitali, katika jukwaa linalounganisha muziki wa injili, imani na mshikamano wa kijamii. Akizungumza katika tamasha hilo, Meneja Mwandamizi Wateja Binafsi Benki ya NMB, Zuberi Bani, alisema ushiriki wa benki hiyo unalenga kuwa karibu na vijana na jamii kwa kuwapatia maarifa ya kifedha yanayoweza kuwasaidia kujenga tabia ya kuweka akiba, kupanga matumizi na kutumia huduma rasmi za kifedha kwa usalama. “Twenzetu kwa Yesu ni zaidi ya tamasha la muziki; ni nafasi ya […] The post NMB Yatumia Twenzetu kwa Yesu Kuendeleza Elimu ya Fedha kwa Vijana appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site