HabariLeo
DAR ES SALAAM: MRADI wa Pamba na Kazi Bora unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya Serikali za Tanzania na Brazil umeendelea kuonesha mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya ajira za watoto, huku ukichangia kuimarisha usalama na afya kazini na kupanua huduma za ulinzi wa kijamii. Akizungumza jijini Dar es Salaam ,Ofisa Programu wa Shirika la Kazi … The post Mafanikio ya mradi wa Pamba na Kazi Bora yaonekana first appeared on HabariLeo .
Go to News Site