Collector
Kihongosi asisitiza umakini mapokezi ya wageni | Collector
Kihongosi asisitiza umakini mapokezi ya wageni
HabariLeo

Kihongosi asisitiza umakini mapokezi ya wageni

MANYARA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amewataka wananchi wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara kuwa makini wanapowapokea wageni katika maeneo yao ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza kutokana na kuwapokea watu wasiowafahamu vizuri. Kihongosi ametoa wito huo leo Juni 2,2026 aliposhiriki kikao cha Shina namba Mbili … The post Kihongosi asisitiza umakini mapokezi ya wageni first appeared on HabariLeo .

Go to News Site