HabariLeo
DAR ES SALAAM: Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewahukumu kifungo cha maisha jela Suleiman Thabit Ngulangwa na Farid Hamis Said baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la biashara haramu ya dawa za kulevya aina ya heroin yenye uzito wa kilo 15.19. Katika hukumu iliyotolewa Juni 1, 2026, Jaji … The post Wahukumiwa jela maisha kwa kuuza dawa za kulevya first appeared on HabariLeo .
Go to News Site