Serikali imelipa deni kwa asilimia 68 ya malengo | Collector
Mwananchi
Serikali imelipa deni kwa asilimia 68 ya malengo
Hadi kufikia Aprili mwaka huu, Serikali ilishalipa deni la Serikali la Sh9.74 trilioni ambalo ni asilimia 68.5 ya malengo yaliyotarajiwa kwa kipindi hicho.