Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Ummy Mwalimu kuwa mshauri wa Rais katika masuala ya afya, ustawi wa jamii, wanawake na watoto.