Mwananchi
Akiwa na umri wa miaka 89, rais wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, bado anaonekana mwenye nguvu, mchangamfu na mwenye uwezo wa kushiriki shughuli mbalimbali kama ilivyokuwa miaka mingi iliyopita. Siri ya afya yake amesema, si uchawi wala bahati, bali ni nidhamu ya maisha aliyoiweka kwa zaidi ya miongo minne tangu alipogundulika kuwa na ugonjwa wa kisukari.
Go to News Site