CCM Tanga yaanza utekelezaji mradi wa nyumba za watumishi | Collector
Mwananchi
CCM Tanga yaanza utekelezaji mradi wa nyumba za watumishi
Ndoto ya muda mrefu ya kuhakikisha watumishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga wanapata makazi ya uhakika na kuondokana na mzigo wa gharama za pango, imeanza kuchukua sura.