Collector
Kakama yabeba ajenda ya AI kwa maendeleo ya Kiswahili duniani maadhimisho ya Bujumbura | Collector
Kakama yabeba ajenda ya AI kwa maendeleo ya Kiswahili duniani maadhimisho ya Bujumbura
Mwananchi

Kakama yabeba ajenda ya AI kwa maendeleo ya Kiswahili duniani maadhimisho ya Bujumbura

Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki (Kakama) imeeleza mkakati wake wa kukuza Kiswahili kwa nchi wanachama na duniani kupitia Kongamano la 3 la Kimataifa la Kiswahili pamoja na maadhimisho ya tano ya Siku ya Kiswahili Duniani (Masikidu) ambayo yatafanyika Julai 5 hadi 7 Julai 2026 jijini Bujumbura, Burundi, huku ujumbe wa maadhimisho hayo ukilenga mjadala wa nafasi ya Kiswahili katika ulimwengu wa teknolojia na masuala ya akiliunde.

Go to News Site