Collector
Viongozi watakiwa kutambua mamlaka ni ya muda | Collector
Viongozi watakiwa kutambua mamlaka ni ya muda
HabariLeo

Viongozi watakiwa kutambua mamlaka ni ya muda

MANYARA: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa, Kenani Kihongosi amewataka viongozi wa chama na serikali kutambua kuwa mamlaka wanayopewa na wananchi ni dhamana ya muda ya kuwatumikia. Kihongosi ameeleza hayo leo Juni 3,2026 alipotembelea na kuahiriki kikao katika Shina Namba Nane, Kata ya Mirerani, wilayani Simanjiro mkoani Manyara, ikiwa … The post Viongozi watakiwa kutambua mamlaka ni ya muda first appeared on HabariLeo .

Go to News Site