HabariLeo
MANYARA: ZAIDI ya wananchi 16,000 wakiwemo wachimbaji wa madini na wadau mbalimbali wa shughuli za kiuchumi wanatarajiwa kunufaika na Zahanati Mpya inayojengwa katika eneo tengefu la Mgodi wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Hayo yamebainishwa leo Juni 3, 2026 Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi alipotembelea … The post Wananchi 16,000+ kunufaika na zahanati Mirerani first appeared on HabariLeo .
Go to News Site