Collector
Taasisi yamsaidia bati, saruji mwenye ulemavu | Collector
Taasisi yamsaidia bati, saruji mwenye ulemavu
HabariLeo

Taasisi yamsaidia bati, saruji mwenye ulemavu

DAR ES SALAAM; Taasisi ya Tanzania Generation Care imetoa msaada wa mifuko ya saruji, bati pamoja na matofali kwa ajili ya kumsaidia mlemavu wa macho, Paulo Lupita, mkazi wa Tabata Mawenzi, Dar es Salaam, ambaye nyumba yake imebomoka na hivyo kulazimika kulala nje. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa kukabidhi msaada huo, Mkurugenzi wa … The post Taasisi yamsaidia bati, saruji mwenye ulemavu first appeared on HabariLeo .

Go to News Site