Collector
Bil 3/- zahitajika kusaidia watoto wenye ulemavu | Collector
Bil 3/- zahitajika kusaidia watoto wenye ulemavu
HabariLeo

Bil 3/- zahitajika kusaidia watoto wenye ulemavu

DAR ES SALAAM: HOSPITALI ya CCBRT imezindua rasmi kampeni ya kitaifa ya uchangishaji fedha yenye lengo la kukusanya Sh bilioni 3 ili kugharamia matibabu ya watoto wanaozaliwa na changamoto mbalimbali za kiafya zinazoweza kutibika nchini Tanzania. Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni hiyo jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa CCBRT, Brenda Msangi, amesema … The post Bil 3/- zahitajika kusaidia watoto wenye ulemavu first appeared on HabariLeo .

Go to News Site