Collector
Takukuru yawafikia watoto njiti Shinyanga | Collector
Takukuru yawafikia watoto njiti Shinyanga
Mwananchi

Takukuru yawafikia watoto njiti Shinyanga

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imekabidhi vifaatiba vya kisasa kwa ajili ya kuwahudumia watoto waliozaliwa kabla ya wakati, njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto.

Go to News Site