Collector
CCBRT yasaka Sh3 bilioni kuokoa watoto wenye ulemavu wa kuzaliwa | Collector
CCBRT yasaka Sh3 bilioni kuokoa watoto wenye ulemavu wa kuzaliwa
Mwananchi

CCBRT yasaka Sh3 bilioni kuokoa watoto wenye ulemavu wa kuzaliwa

Hospitali ya CCBRT imezindua kampeni ya kitaifa ya kuchangisha Sh3 bilioni kwa ajili ya kusaidia matibabu ya watoto wanaozaliwa na changamoto za kiafya, huku ikiweka wazi kuwa, kujiondoa kwa wafadhili kumeathiri uwezo wa taasisi kuendelea kutoa huduma kwa wagonjwa wasio na uwezo.

Go to News Site