Collector
Sh70 bilioni kuwezesha biashara ndogo | Collector
Sh70 bilioni kuwezesha biashara ndogo
Mwananchi

Sh70 bilioni kuwezesha biashara ndogo

Benki ya Stanbic Tanzania imepata ufadhili wa Sh70 bilioni utakaotumika kuongeza mikopo kwa biashara ndogo na za kati (SMEs), hatua inayotarajiwa kuongeza upatikanaji wa mitaji kwa wafanyabiashara na kuchochea ukuaji endelevu wa uchumi.

Go to News Site