Mwananchi
Jitihada za dunia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, upotevu wa bioanuwai na uharibifu wa mazingira zimepata nguvu mpya baada ya Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF) kuidhinisha dola za marekani bilioni 3.9 (Sh9.95 trilioni) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya mazingira hadi mwaka 2030.
Go to News Site