Collector
Tanzania, Russia ni kimkakati zaidi | Collector
Tanzania, Russia ni kimkakati zaidi
Mwananchi

Tanzania, Russia ni kimkakati zaidi

Rais Samia Suluhu Hassan amesema ziara yake ya kitaifa nchini Russia ni ya umuhimu mkubwa kwa Tanzania, akieleza inafungua ukurasa mpya wa kuimarisha ushirikiano wa kihistoria uliodumu kwa miongo kadhaa kati ya nchi hizo mbili katika nyanja mbalimbali za maendeleo.

Go to News Site