Collector
Barabara ya Ipogolo-Kilolo yarahisisha usafirishaji mazao ya wakulima | Collector
Barabara ya Ipogolo-Kilolo yarahisisha usafirishaji mazao ya wakulima
Mwananchi

Barabara ya Ipogolo-Kilolo yarahisisha usafirishaji mazao ya wakulima

Kwa miaka mingi, wakazi wa Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa waliishi katika changamoto ya usafiri kutokana na ubovu wa barabara ya vumbi iliyounganisha maeneo mbalimbali wilayani humo mpaka kufika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, hali iliyosababisha safari kuwa ndefu, gharama za usafirishaji kupanda na wakati mwingine mazao ya wakulima kuharibika kabla ya kufika sokoni.

Go to News Site