Radio Jambo
“Hatuhitaji kufanya ushiriki wa umma; hatuendi kushauriana na wananchi. Hili janga halihitaji mashauriano yoyote.” CS Aden Duale autetea uamuzi wa serikali wa kuanzisha kituo cha karantini chwa wagonjwa wa Ebola nchini Kenya. Citizen TV #GidiNaGhostAsubuhi #kituoChaWakenya
Go to News Site