Collector
Kilimo cha maua kilivyo fursa mpya ya ajira nchini | Collector
Kilimo cha maua kilivyo fursa mpya ya ajira nchini
Mwananchi

Kilimo cha maua kilivyo fursa mpya ya ajira nchini

Katika kipindi hiki ambapo Tanzania inaendelea kushuhudia ongezeko kubwa la vijana wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka, ni muhimu kuangalia sekta zenye uwezo mkubwa wa kuzalisha ajira na kuongeza kipato cha wananchi. Miongoni mwa sekta hizo ni biashara ya maua (floriculture), ambayo imeanza kujidhihirisha kama chanzo muhimu cha ajira, mapato ya fedha za kigeni na maendeleo ya uchumi wa taifa.

Go to News Site