Collector
TRA yasisitiza mazingira bora ya kazi kuimarisha ufanisi | Collector
TRA yasisitiza mazingira bora ya kazi kuimarisha ufanisi
HabariLeo

TRA yasisitiza mazingira bora ya kazi kuimarisha ufanisi

DAR ES SALAAM; Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Moshi Kabengwe, amewataka viongozi wa taasisi hiyo kuzingatia afya ya akili kwa watumishi wanaowasimamia kwa kuwa karibu nao na kujenga mazingira bora ya kazi yatakayowawezesha kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi. Kabengwe ametoa rai hiyo leo Juni 04, 2026 jijini Dar … The post TRA yasisitiza mazingira bora ya kazi kuimarisha ufanisi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site