Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametaja mambo matano visiwani humo kuwa sehemu sahihi ya kuwekeza hasa kuboresha miundombinu.