Mwananchi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu Watanzania 35 kulipa faini ya Sh50,000, kila mmoja au kwenda jela miezi 12, baada ya kukiri shtaka la kuondoka ndani ya Tanzania na kwenda Afrika Kusini bila kufuata taratibu za Uhamiaji.
Go to News Site