Watu 871 wanashikiliwa na Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma mbalimbali ikiwepo mauaji, kujeruhi, kubaka na kupatikana na dawa za kulevya.