Samia atunukiwa shahada ya heshima Russia, wadau wachambua uzito wake | Collector
Mwananchi
Samia atunukiwa shahada ya heshima Russia, wadau wachambua uzito wake
Rais, Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Russia (RUDN University) jijini Moscow, nchini humo.