Collector
Kituo cha msaada kwa wafanyakazi wahamiaji kufunguliwa | Collector
Kituo cha msaada kwa wafanyakazi wahamiaji kufunguliwa
HabariLeo

Kituo cha msaada kwa wafanyakazi wahamiaji kufunguliwa

DAR ES SALAAM: SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), kwa kushirikiana na Shirika la Kazi Duniani (ILO) watazindua rasmi Kituo cha Msaada kwa Wafanyakazi Wahamiaji Tanzania (TUCTA-MWRC) chenye lengo la kusaidia watanzania wanaoenda kufanya kazi nje ya nchi. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Naibu Katibu Mkuu TUCTA Rehema Ludanga alisema kituo hicho kinachotarajiwa … The post Kituo cha msaada kwa wafanyakazi wahamiaji kufunguliwa first appeared on HabariLeo .

Go to News Site