HabariLeo
ARUSHA: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi, amesema uongozi wa taifa unahitaji uzoefu, utulivu na uwezo wa kufanya maamuzi makubwa, akisisitiza kuwa Tanzania inaendelea kunufaika na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amejijengea uzoefu wa muda mrefu katika utumishi wa umma. Kihongosi amezungumza hayo leo wakati akizungumza na … The post Kihongosi asifu uongozi wa Dk Samia first appeared on HabariLeo .
Go to News Site