Swahili Times
Kwa miaka mingi, chapa nyingi nchini Tanzania zipo kila mahali lakini ni ngumu mtu kuzikumbuka. Nembo kubwa jukwaani, DJ’s maarufu, vinywaji kwa bei nafuu, na watengeneza maudhui wa mitandoni wakituma video zisizofikisha ujumbe kamili kwenye mitandao ya kijamii ( Instagram). Baada ya hapo, kila mtu anarudi nyumbani kwake, hadi kufikia jumatatu tukio lote limesahaulika. Huo umekuwa ni ukweli mchungu kwa chapa nyingi zaidi barani Afrika. Kampuni inatumia fedha nyingi zaidi kujitangaza, lakini hushidwa kuacha historia isiyofutika kwa wateja na walaji wake. Kibaya zaidi, walaji nao wamegundua hilo. Siku hizi, watumiaji wana ladha tofouti. Hawavutiwi tena na uwepo wa chapa ya […] The post Kwanini Chapa Nyingi za Tanzania Zinashindwa Kuacha Historia ya Kudumu kwa watumiaji Wake? appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site