Collector
SUA yajizatiti utafiti wa mbegu bora | Collector
SUA yajizatiti utafiti wa mbegu bora
HabariLeo

SUA yajizatiti utafiti wa mbegu bora

MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimelekeza nguvu  kuwekeza katika tafiti, ubunifu na teknolojia za uzalishaji wa mbegu bora ili kuongeza tija katika sekta ya kilimo na kuimarisha usalama wa chakula nchini. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaalam, Profesa Maulid Mwatawala amesema hayo kwa niaba ya Makamu Mkuu … The post SUA yajizatiti utafiti wa mbegu bora first appeared on HabariLeo .

Go to News Site