Radio Jambo
Mtu akikwambia “Tuma direct na Mbao” atakuwa anamaanisha nini? Kelvin Njoroge kutoka atakuwa nasi leo kwa mahojiano kufafanua zaidi vile utaweza kutuma na kuhamisha pesa zako kupitia Pesalink bila kugharamika sana na kwa urahisi na manufaa mengine mengi zaidi. #JamboMassawe
Go to News Site