✕
CURRENT NEWS
SPORTS
MAGAZİNE
SCİENCE
BUSİNESS
TRAVEL
AUTOMOBİLE
TECHNOLOGY
Mtu akikipromise pesa, halafu asahau, unamkumbushaje politely ? #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya | Collector
All
CURRENT NEWS
CURRENT NEWS
AKTUELLE NEWS
CURRENT NEWS
CURRENT NEWS
CURRENT NEWS
Uusimmat uutiset
ACTUALİTES
SCIENCE
FINANCE
BUSINESS
SPORTS
BOOKS
CINEMA
MAGAZİNE
TRAVEL AND FOOD
TECNOLOGY
ACTUEEL NIEUWS
AKTUELLA NYHETER
ACTUALITÉS
Radio Jambo
Mtu akikipromise pesa, halafu asahau, unamkumbushaje politely ? #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya
Mtu akikipromise pesa, halafu asahau, unamkumbushaje politely ? #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya
Go to News Site
Radio Jambo
Radio Jambo
Kupiga mswaki si kupiga mswaki tu, ni ART!!! Na ndio maana tumekuletea dawa ya meno ya @colgate_kenya . Nunua leo ujionee. Usiseme hatukukuchanua morio . @CarrefourKe , @ThikaRoadMall #ColgateNaturesFest #ColgateHerbal #ColgateCharcoal #KituoChaWakenya
Radio Jambo
Unaosha meno yako kwa kutumia dawa gani? Kwa kuwa na healthy germs, tabasamu nzuri, Fred breath na zaidi, chagua @colgate_kenya Leo. @CarrefourKe , @ThikaRoadMall #ColgateNaturesFest #ColgateHerbal #ColgateCharcoal #KituoChaWakenya
Radio Jambo
Pata a comfortable smile kwa kutumia dawa ya meno ya Colgate Charcoal kutoka @colgate_kenya na imepunguzwa bei kwa asilimia kubwa. @CarrefourKe , @ThikaRoadMall #ColgateNaturesFest #ColgateHerbal #ColgateCharcoal #KituoChaWakenya
Radio Jambo
Tabasamu lazima lipambwe na njia pekee ni kwa kutumia @colgate_kenya . Fika @CarrefourKe , @ThikaRoadMall tuchanuane kimorio . #ColgateNaturesFest #ColgateHerbal #ColgateCharcoal #KituoChaWakenya
Radio Jambo
Tuko ndani ya TRM Mall kwa hisani ya @colgate_kenya . Tuko na Colgate Herbal, Colgate Charcoal, Colgate Herbal with Salt. Pia kuna discounts kibao ndani ya @CarrefourKe , TRM Mall. Ukituona say hi. #ColgateNaturesFest #ColgateHerbal #ColgateCharcoal #KituoChaWakenya
Radio Jambo
Karibu kwenye #MazungumzoWaziwazi naye @mwololobramwell Unategea show ukiwa wapi,wakilisha mtaa wako na usisahau kutag marafiki zako. #KituoChaWakenya
Radio Jambo
Had a chat na @naserianne na mume wake @sydkenya . Wako kwa their third marriage. Ilikuwaje kwa ndoa zao za kwanza na pili? Full video; ▶️ Radio Jambo Kenya YouTube #ILIKUAJE #JamboMassawe #KituoChaWakenya #BestInSwahiliRadio
Radio Jambo
Jamaa amfukuza mkewe kwa kisu kwa madai ya kuuza vifaa vya nyumbani ili kuwasomesha watoto #Deadbeat #JamboMassawe
Radio Jambo
Kupitia kwa ukurasa wao rasmi wa Instagram Klabu ya Liverpool imethibitisha kuwa Andoni Iraola amekubali mkataba wa kuwa kocha wao mkuu mpya kuanzia msimu wa 2026/27. Iraola alitia Saini mkata wa miaka miwili hadi juni 2028 #KituoChaWakenya #KandanaNiSisi
Radio Jambo
“Ninamuunga rais mkono wakati huu na nitamuunga mkono katika uchaguzi ujao ili apate awamu yake ya pili ya uongozi.” CS @OpiyoWandayi #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya
Radio Jambo
Wengine hupenda chai, wengine hupenda soka, lakini Rashid yeye hobby yake ni wanawake! "Rashid anapenda sana wanawake hadi nilimpata na jirani bafuni." — Joan
Radio Jambo
"Nchi ya Kenya haijawahi kosa mafuta hata tangu vita itokee kule Iran ukilinganishwa na nchi zingine katika hili bara na kwingineko. Lazima tujihesabu kama watu wa bahati..." @OpiyoWandayi #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya