Radio Jambo
Rais wa Real Madrid, Florentino Pérez, ametangaza kuwa klabu hiyo inajiandaa kuwasilisha zabuni ya thamani ya pauni milioni 150 kwa ajili ya kumsajili mchezaji nyota. Pia alithibitisha kuwa mchezaji huyo si Erling Haaland, Harry Kane wala Michael Olise. #KituoChaWakenya
Go to News Site