Collector
Vituo vya afya 300 Zanzibar vyafanyiwa tathmini viwango vya ubora | Collector
Vituo vya afya 300 Zanzibar vyafanyiwa tathmini viwango vya ubora
Mwananchi

Vituo vya afya 300 Zanzibar vyafanyiwa tathmini viwango vya ubora

Wakati vituo vya afya 300 vya Serikali na binafsi vikifanyiwa tathmini ya ubora, wataalamu waliohitimu mafunzo ya usimamizi wa ubora wa huduma za afya wametakiwa kutumia elimu hiyo kuboresha huduma kwa wananchi na kupunguza malalamiko katika vituo hivyo.

Go to News Site