Mwananchi
Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Suleiman Ikomba amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma na kusomewa mashtaka 14 yanayohusisha tuhuma za rushwa, kuunda genge la uhalifu na uhujumu uchumi.
Go to News Site