Collector
Wasira aiagiza Samwasa kuharakisha usambazaji wa maji Same mjini | Collector
Wasira aiagiza Samwasa kuharakisha usambazaji wa maji Same mjini

Wasira aiagiza Samwasa kuharakisha usambazaji wa maji Same mjini

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Same - Mwanga (Samwasa) kuharakisha uwekaji wa mfumo wa usambazaji wa maji safi na salama katika maeneo yenye changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.

Go to News Site