Collector
Udanganyifu wa kidijitali waibua tahadhari Serikali | Collector
Udanganyifu wa kidijitali waibua tahadhari Serikali

Udanganyifu wa kidijitali waibua tahadhari Serikali

Rais wa ACFE Tanzania, Ali Mabrouk Juma, amesema dunia inakabiliwa na ongezeko la udanganyifu wa kisasa unaotumia teknolojia na mifumo ya kidijitali, hali inayohitaji ushirikiano wa karibu kati ya taasisi mbalimbali.

Go to News Site