Collector
Upelelezi umekamilika kesi ya Najim na mkewe wanaodaiwa kusafirisha kilo 3,000 za 'unga' | Collector
Upelelezi umekamilika kesi ya Najim na mkewe wanaodaiwa kusafirisha kilo 3,000 za 'unga'
Mwananchi

Upelelezi umekamilika kesi ya Najim na mkewe wanaodaiwa kusafirisha kilo 3,000 za 'unga'

Upelelezi wa kesi ya kusafirisha shehena ya kilo 3,050 za dawa za kulevya, inayomkabili mfanyabiashara Najim Mohamed(52) na mkewe Maryam Najim Mohamedi (50) pamoja na mfanyakazi wa ndani, Juma Abbas(37), umekamilika.

Go to News Site