Mwananchi
Taasisi ya Kuzuiana na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imebainisha kuwa mfumo wa ununuzi wa kielektroniki (NeST) umeibua dosari katika utekelezaji wa miradi ya elimu mkoani Tanga na kufungua njia ya kuokolewa kwa zaidi ya Sh116.2 milioni.
Go to News Site