Collector
NMB yanogesha Tamasha la Uwekezaji Zanzibar | Collector
NMB yanogesha Tamasha la Uwekezaji Zanzibar
Swahili Times

NMB yanogesha Tamasha la Uwekezaji Zanzibar

Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea banda la Benki ya NMB katika Tamasha la Uwekezaji Zanzibar 2026 lililofanyika Golden Tulip Airport Hotel, Zanzibar. NMB ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa tamasha hilo la kila mwaka lililowakutanisha viongozi wa serikali, wawekezaji, taasisi za fedha, watendaji wakuu na wadau wa sekta binafsi kujadili fursa za uwekezaji na ukuaji endelevu wa uchumi wa Zanzibar. Rais Dkt. Mwinyi alipokelewa na Meneja wa Benki ya NMB, Tawi la Zanzibar, Ahmed Nassor, ambaye alimweleza kuhusu suluhisho mbalimbali zinazopatikana kupitia NMB kwa wawekezaji, kampuni na taasisi zinazofanya kazi […] The post NMB yanogesha Tamasha la Uwekezaji Zanzibar appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site