Collector
Vodacom na TCDC waungana kuharakisha mageuzi ya kidijitali katika vyama vya ushirika. | Collector
Vodacom na TCDC waungana kuharakisha mageuzi ya kidijitali katika vyama vya ushirika.
Swahili Times

Vodacom na TCDC waungana kuharakisha mageuzi ya kidijitali katika vyama vya ushirika.

*Yakabidhi kompyuta mpakato 35 kwa Tume ya Ushirika Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania Bw. Nguvu Kamando (wa pili kulia), akikabidhi moja ya kompyuta mpakato kati ya 35 zilizokabidhiwa kwa Mrajisi wa Vyama Vya ushirika Dk. Benson Ndiege (wa pili kushoto) wakati wa utiaji saini makubalino kati yao. Hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam baada ya taasisi hizo mbili kuingia makubaliano ya matumizi ya kidijitali kwa vyama vya ushirika kupitia jukwaa la M-kulima, makao makuu ya Vodacom Tanzania jijini Dar es salaam. Tukio hilo lilishuhudiwa na Mkuu wa Idara ya Mifumo ya Kidijitali wa Vodacom Tanzania […] The post Vodacom na TCDC waungana kuharakisha mageuzi ya kidijitali katika vyama vya ushirika. appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site